Mnamo tarehe 9 Desemba 1961, Tanganyika ilijipatia uhuru wake kutoka kwa koloni la Kiingereza. Wakati huo, alikuwepo gavana aitwaye Sir Richard Turnbull. Gavana wa kikoloni huku Tanganyika alikuwa...
Tanznaia Tuitakayo katika sekta ya UVUVI
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo kwa miaka miatano ijayo ni Kuona wavuvi wananufaika na Rasilimali za Uvuvi na zinabadilisha maisha yao kwa Ujumla.
Ifike...
Chanzo: Latest news and case studies
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyojengwa kwa taswira ya amani na usalama kwa raia. Hii imepelekea nchi yetu kutambulika kama kisiwa cha amani. Licha ya sifa...
Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi
Uongozi na viongozi...
Traffic congestion is a major challenge in Dar es Salaam, Tanzania's largest and most economically significant city. With its rapid population growth and urbanization, the city's infrastructure...
Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali.
Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya...
Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi...
Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe...
Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye...
Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za...
Mtoto huyu, aliye katika jamii kwa sasa hajui nani amwamini nani asimwamini,mtoto huyu hana pa kukimbilia, si baba,si mjomba, si kaka, si babu, sio mwalimu, si kiongozi wa dini, sio binamu, mtoto...
Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa...
UTANGULIZI.
Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari.
Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya...
Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa...
Health is a broad term that goes beyond the mere absence of disease or injury. Today, health encompasses not only physical well-being but also mental and social well-being. With the astonishing...
UTANGULIZI.
Kiswahili kimekuwa kikitumika sambamba na lugha ya kiingereza katika elimu itolewayo Tanzania.Utumizi huo umepangwa katika mfumo ambapo kiswahili hutumika kama lugha ya kufundishia...
Dira hii inalenga udhibiti wa vyanzo vya mapato ili kukuza pato la taifa ili kuharakisha maendeleo ya wananchi na ustawi wa jamii kupitia mamlaka zao za serikali za mitaa zikitekeleza mpango huu...
STORIES OF CHANGE 2024:
INTRODUCTION.
Tanzania is one among of the African countries with many resources and one of the countries with peace and comfort but we need a new...
''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea.
Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k)...
Tanzania ni nchi salama yenye hali nzuri ki siasa, kijamii na kiusalama, lakini kama watanzania ama mtanzania napenda kusimama kuzungumza na kushauri mambo kadhaa hasa yanayohusu vyombo vyetu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.