Habari za wakati huu?
Natafuta fundi seremala atakaefanya kazi kwenye karakana yetu, anaeweza kutengeneza kazi za mbao pamoja na MDF.
Ofisi ipo Tanga, korogwe... Sehemu ya kulala ipo vifaa vyote...
Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa.
Wakuu naomba msaada...
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online)...
Hivi karibuni kumefanyika maboresho ya mfumo wa kuomba ajira , Ajira Portal.
Pamoja na maboresho haya, kuna baadhi ya feature muhimu ambazo zimeondolewa na kusababisha changamoto kwa watumiaji...
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote...
Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini
Kipindi cha training kupewq...
Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa...
Habari za muda huu wakuu
Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji
Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya...
Habari, natumaini mpo salama
Naishi Moshi Mjini,
Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
Sales Technician (Solar Products) Required Preferably a lady. Experienced in solar sales & installation + customer care. Please send your CV to duniapower@protonmail.com by August 31, 2025.
Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995.
Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed).
Mkuu kwa mda sana...
+255613784064
+255610186092
Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya .
Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira
Ila...
Habari wana JamiiForums, jina langu ni Kelvin Mwakyoma nina umri wa miaka 23 mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam ni muhitimu wa chuo cha Usimamizi wa Fedha katika stashahada ya uhasibu mwaka 2025...
Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025.
Je...
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja.
Napatikana Mkoa wa Dar es salaam...
Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya.
Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi...
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.