Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)...
Habari za mda huu wana JF,
Nilikuwa na swali kwa wajuzi wa upwork kuhusu hizi connect za kuombea kazi, mana nilijiunga upwork tarehe 13 mwezi uliopita ila sikubewa connect za kuanzia kama nilivyo...
Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development
Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na...
Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji...
Kwema wakuu?
Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii
1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya...
Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi...
Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political...
Mko poa wajumbe wa jukwaa hili?
Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview?
Interview husika...
Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na...
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika...
Kwa dharura. natafuta Mtu mzuri wa IT anayejua vizuri kudesign kuna kazi inamhitaji mtu. Awe ni mtnza siri na anayeweza kufanya kazi kwa haraka. Malipo ni makubaliano kazi ni ya Day
NB sio KAZ ya...
KPS SECURITY COMPANY LIMITED
Security Services
📞 Simu: +255 718142008| +255 763148800
📍 Kilimani, Zanzibar
📍Dodoma, Tanzania
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA JIJINI DAR-ES-SALAAM NA DODOMA.
KPS...
Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio
Vyuo vya makanisa ni kama
Saut
Tumaini
Mwecau
Teku
CuoM
Ruaha...
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
JINA : HAMIS MBWANA MZENGA
Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.