We are looking for a Qualified Occupational Therapist or Physiotherapist Job Overview
Kafika House is seeking a motivated, self-driven, and compassionate Occupational Therapist or...
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), has a loan book of more than TZs. 44 billion and more than...
Habarini wakuu,
Wakuu mimi ni kijana wa kiume miaka 25years nilikuwa natafuta kazi ya kutengeneza platform, website au app. nipo tayari kuanza kwa kujitolea hata kwa wiki kadhaa au hata mwezi...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 32, nmeoa NINA na mtoto mmoja ndani ya ndoa lakini hapo kabla nikipata mtoto KWA hiyo jumla NINA watoto wawili wote ni wa kiume...
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi...
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu...
JOSHUA JOBS AGENCY
ATTENTION EMPLOYERS!
We have skilled and experienced candidates available for immediate employment in the following positions. If you're looking to hire, don't hesitate to...
Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia...
Wakuu Habari.
Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa...
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha...
NDUGU zangu nimekuja kwenu najua humu ndani kuna watu wenye kada tofauti tofauti
Mimi ni dereva kwa kusomea, tokea nijifunze udereva huu ni mwezi takribani mwezi wa 5....hivyo nimeshawahi kwenda...
Habari ya muda huu wakuu.
Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa...
Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi...
ENEO LA KAZI MBEYA
KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI
VOICE OVER,NK
MSHAHARA MAKUBALIANO YETU
tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma
josefevafeva@gmail.com
Nimongeza Muda wa Kuomba tena,
Hata...
Kwanini Chuo cha kodi (cha serikali) hakitambuliki Ajira portal katika kazi za taxation? Hasahasa katika ngazi ya Bachelor Degree in customs and tax management?
Mfano kuna kazi za Mkaguzi wa...
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.