Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu zangu wapendwa, Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi. Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to...
1 Reactions
3 Replies
694 Views
Habari ya Jumapili wana wa Mungu. Kama Tangazo linavyojieleza, nahitaji Lab Technician aliyesoma mambo ya Food Science, Logistic Specialist na Land Surveyor. Mwenye sifa hizo tafadhali anitumie CV...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Habari zenu wakuu Anahitajika Famasia (Registered Pharmacy) Kiwango cha elimu degree Eneo la kazi Bariadi Manispaa Tuma CV kupitia email happyness@gmail.com
1 Reactions
7 Replies
462 Views
Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata...
27 Reactions
117 Replies
8K Views
Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Habari zenu, Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
412 Views
Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo. 0759960687.. karibuni
1 Reactions
2 Replies
310 Views
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MSUSI Mahali: Moshi Mjini – Mbuyuni Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni. Sifa zinazohitajika: ✅ Uwe na uzoefu...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Habari wakuu, Nahitaji mfanyakazi wa ndani. Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana. Number ya mawasiliano - 0767836872. Asante.
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Wakuu Mimi ni muhtimu wa kidato cha nne mwaka 2019 na ufaulu wa dalaja la pili alama 19,sikuendelea na shule kutokana na changamoto za kifedha. Wakuu,nipo chini ya miguu yenu kuwaomba kati katika...
2 Reactions
8 Replies
528 Views
Wadau kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu kuitwa kwenye Interview za utumishi kwenye hizo nafasi zinazotaka watu 10 tu na waombaji ni 1760 Nilitaka kufaham kwenye Area kama hiyo kunawezakuwa...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari za muda huu ndugu zangu, mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. ni kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka. Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema. 1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe 2.Simu...
20 Reactions
41 Replies
6K Views
Nisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Habari wana JF natafuta vijana wa kuuza bidhaa kwenye foleni za Dar kwa aliye tayari anicheki kwa 0626333300
7 Reactions
14 Replies
702 Views
Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi 1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4...
17 Reactions
280 Replies
14K Views
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about promoting art? Are you skilled in sales, marketing, and connecting with people from diverse...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Wanahitajika walinzi kwenye hoteli ilyoko unguja mjini. Kuhusu mshahara na mawasiliano njoo pm Iko wazi. Muda wa kazi ni saa moja hadi saa kumi na moja na zamu nyingine ni saa kumi na moja hadi...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
We are looking for a Qualified Registered Nurse Job Overview We are seeking a dedicated and skilled Registered Nurse (RN) to join our Patient Care Team. The RN will provide compassionate pre-...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Back
Top Bottom