Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha...
0 Reactions
4 Replies
780 Views
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI JINA : HAMIS MBWANA MZENGA Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu. Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani. Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
533 Views
Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025. Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
1 Reactions
13 Replies
762 Views
POST CIVIL TECHNICIAN – 30 POST EMPLOYER Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) APPLICATION TIMELINE: 2024-08-10 2024-08-24 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assist...
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote. Umri: 26 yrs Elimu: Form 4...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
0 Reactions
3 Replies
498 Views
Habari wakuu, Mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
1 Reactions
3 Replies
701 Views
Top Online Income Opportunities in Europe for 2025 In 2025, the digital landscape in Europe offers a plethora of opportunities for individuals seeking to generate income online. Whether you're...
1 Reactions
0 Replies
520 Views
Company: Inno Fleet Limited Location: Victoria Noble Center, Floor No. 13, Dar es Salaam, Tanzania Inno Fleet Limited is a fast-growing leader in the transport and fleet technology sector. We...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni...
8 Reactions
1K Replies
90K Views
Habari!! JOSHUA JOBS AGENCY, inapenda kwawashukuru wale wote ambao wameendelea kushilikiana nasi katika utoaji wa fursa za Ajira za mda mfu na mrefu kwa vijana mbalimbali nchini Tanzania kupitia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Habari wadau, kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa...
0 Reactions
2 Replies
555 Views
Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za 1. Food inspection officer 2. Quality assurance officer 3. Research officer
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Tafadhali rejea kichwa cha habari naomba kuuliza ni aina gani ya mitihani hutolewa na Secretariat ya utumishi wa umma kwenye interview ya mchujo? kama kuna watu waliofanya interview ya hivi...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari za majukumu wakuu. Uzi huu ni wa Dada yangu anaitwa FAITH CHOHOLO ni muhitimu chuo cha IFM kozi ya bima na usimamizi wa hatari katka ngazi ya digirii (Insurance and Risk management)...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Bid No: GNTZ/MPO/T/2025/002 SUPPLY AND INSTALLATION OF THREE (3) COFFEE PULPING MACHINES (Ecological Coffee Wet Mills Compact Units (UCBES) IN MBOZI DISTRICT, SONGWE REGION] Good Neighbors...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
JOB DESCRIPTION Altezza Travelling Limited wishes to invite competent, qualified, experienced, and dedicated Tanzanians to fill in EXECUTIVE HOUSEKEEPER position which is currently available in...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Department: Finance and Administration Location: FINCA Head Office, Dar es Salaam Validity period: 07/08/2025 – 21/08/2025 The Management Reporting Officer is a member of the Finance Department...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Back
Top Bottom