Hivi mimi nimekosea wapi jamani Wana jf?

Ba Bii

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
204
Reaction score
160
Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).

Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.

Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea popote ila tu umegraduate katika awamu mbaya ya JPM haijawahi kutokea ajira hamna kwasabb mzunguko wa pesa uko low sanaa private sekita hawaki kwa ajili wataalamu hawana wakika na mishahara yao.......serikali hela imeiwe
keza kwenye miundombinu ambaye haizalishi haraka kwahiyo sio wewe tu uchumi wa nchi nzima umesha umba unaendeshwa kwa propaganda na data fake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Nashukuru angalau kwa maelezo yako, nimefarijika japo kwa kias flani....!
Hujakosea popote ila tu umegraduate katika awamu mbaya ya JPM haijawahi kutokea ajira hamna kwasabb mzunguko wa pesa uko low sanaa private sekita hawaki kwa ajili wataalamu hawana wakika na mishahara yao.......serikali hela imeiwe
keza kwenye miundombinu ambaye haizalishi haraka kwahiyo sio wewe tu uchumi wa nchi nzima umesha umba unaendeshwa kwa propaganda na data fake....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni graduate kama wewe tumetofautiana tu miaka jimi ni 2016 ila nadhani tofauti yetu ingine ni kwenye mindset.
Badili mtazamo brother, anza kuiona dunia katika upande wa abudance na siyo scarcity tafuta namna ambayo watu watakutafuta wakulipe kupata huduma yako.
Napendaga kamsemo haka " if u want to attract be attractive "
Jaribu kupiga brush ujuzi na talanta yako nakuhakikishia hutatembea na baasha ya kaki mtaani kutafuta mlo.
Kama hujui pa kuanza basi anza kwa kusoma vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jishikize kwenye makampuni ya ulinzi mpaka hapo bwana mkubwa atakapoachia utitiri wa ajira zinazoendana na fani uliyosomea.
Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana.
Unaenda kuwa mlinzi, na utapangiwa zamu sawa na form four leaver utakaowakuta wakiwa wana uzoefu wa 10 years kwenye hiyo industry ya kukurupushana na majambazi.
Kila la kheri.
 
Mkuu,
Katika maisha kuna mambo mengi sana Magumu ila jambo gumu kuliko lote ni hili unalopitia sasa.Pembeni ya kuajiriwa ni kitu gani kingine ambacho unaweza kukifanya?
 
Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).

Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.

Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Kwa nini taasisi itake kuajiri.

2. Kwa nini inapotaka kuajiri, ikuajiri wewe.
 
Mkuu, mambo yapo mengi ambayo naweza nikafanya. Ila kwa sasa siwezi fanya lolote maana sina pakuanzia pasipo kuwa na kianzio. Natamani nipate kazi ili nipate capita then kuanzia hapo ndio nitajua nn chakufanya...

1. Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi.

2. Nahitajika kuajiriwa b/cause mm nitakuwa chachu ya kampuni, nitasolve matatizo ya wateja mbalimbali, nitapambana kuisaidia kampuni kujipanua zaidi ili na mm niweze kulipwa na maisha yaendelee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mambo yapo mengi ambayo naweza nikafanya. Ila kwa sasa siwezi fanya lolote maana sina pakuanzia pasipo kuwa na kianzio. Natamani nipate kazi ili nipate capita then kuanzia hapo ndio nitajua nn chakufanya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. utakapoweza fanya lolote tuwasiliane
 
Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).

Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.

Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi tatizo ulilonalo ni la wengi na ukihitaji kwanza toa mawazo ya kuajiliwa, vyeti viweke ndani ya begi iwe tu kuajiliwa kukutakukuta mbele ya safari.
Jichanganye na kazi zozote zile ili mradi mkono uende kinywani, katika mawazo ya kujiajiri usifikirie kamwe mtu wa kuja kukupa mtaji. Kuwa na ndoto kubwa kwa kuanza na kidogo sana ulichonacho, fanya kitu unachoamua kukipenda, jitangaze kwa unachofanya, toa ushauri na mawazo kwa watu vizuri, hapo ndipo mwanzo wa safari. Maisha ya vijana wengi kwa sasa tumekuwa hatujui hatma ya kesho yetu japo tuna vision kubwa the problem is how to reach
 
Jishikize kwenye makampuni ya ulinzi mpaka hapo bwana mkubwa atakapoachia utitiri wa ajira zinazoendana na fani uliyosomea.
Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana.
Unaenda kuwa mlinzi, na utapangiwa zamu sawa na form four leaver utakaowakuta wakiwa wana uzoefu wa 10 years kwenye hiyo industry ya kukurupushana na majambazi.
Kila la kheri.
" Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa hufai kua doctor hhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom