Kama kuna wazazi wanataka niwafundishie watoto wao hata kwao majumbani nipo tayari

Serikali inabidi iwaajiri watengeneza ajira, yaani likizo hii badala iwe fursa kufanya research na kufungua mradi wowote kwa saving ya mwaka mzima unaifanya likizo Kama mwanafunzi wa secondary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom