Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Equity Bank is the region’s leading Bank whose purpose is to transform the lives and livelihoods of the people of Africa socially and economically by availing them modern, inclusive financial...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Mwiba Holdings Limited is registered Tanzanian Company under Companies Ordinance (Cap. 212) and a leading Hospitality company with its Operations in Arusha, Meatu-Simiyu and Mara Regions. We are...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, anahitajika muhudumu mmoja was grocery, mahali ni Morogoro Mikese. Yeyote mwenye uhitaji wa kazi hiyo anakaribishwa. Mshahara ni maelewano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa David, niko Mwanza nina miaka 20. Natafuta kazi yeyote elimu yangu ni kidato cha nne Naombeni msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naitaj kufika dodoma kwaajir ya kaz ya uwakala kama kunamwenyej hapo tuwasiliane nijuwe hali ya hapo ipoje je,? Nikwaasilimia ngap wanapita mawakala kila siku pia pakufikia cna msaada wakuu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In today’s world, looking through a candidate’s resume and having a standard interview with them is not enough in the quest for the perfect employee. That’s why employers have to use some tricks...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanabodi mimi ni mwalim wa masomo ya Biology na Chemistry!nimeajiriwa na serekali takribani miaka saba imepita!!Nataka nifundishe shule za private zenye mshahara mnono!!!Nina shahada ya sayansi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Natafuta kazi, nimehitimu Diploma ya Ualimu wa Sayansi, Biology na Geography. Napatikana Dodoma. Kwa mawasiliano namba yangu ni 0752 343 038.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Job Title: Head of People and Culture (HR) Location: Arusha - Tanzania Fixed term- Full-time Purpose of position: To Manage & coordinate human resources strategy for VisionFund Tanzania (VFT)...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Job Title: Master Trainer Period:2020 – 31.12.2020 Superior:CEO Programme (Janet Maro) Reports to:CEOs Key Relationships:CEOs, project managers, SAT Facilitators Substitution:Project Manager...
1 Reactions
1 Replies
862 Views
Position: Activity Research Manager Position Type: Short Term Position Location: Tanzania Summary: ME&A is recruiting an Activity Research Manager for the USAID funded Public Sector Systems...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Position: Human Resources Business Partner - Central Zone Reporting Line: Senior Manager; HR Business Partnering Location: Central Zone Job purpose: To align business objectives with employees...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Position: Data Quality Assessment (DQA) Specialist (Two Positions) USAID/Tanzania data for development project BACKGROUND Mendez England & Associates (ME&A) are implementing the USAID/Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Mini ni Civil Technician wa 5 years experience nimekuwa nje ya uwanja wa ajira kwa mwaka mmoja kwa matatizo binafsi (family). Now nimerudi naombeni muongozo wa kupata kazi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari kwa mara nyingine wakuu. Nilileta bandiko hapa kama wiki 3 zilizopita, lakini Alhamdulillah walijitokeza baadhi ya watu wachache kwenye bandiko wakaniambia niwatumie CV na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, mimi ni Mwalimu ila nilijiongeza nikajifunza system hii ya mauzo hasa katika supermarkets, nina uzoefu nayo. Kwa yeyote mwenye supermarket au duka na anatumia...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Back
Top Bottom