Natafuta mweji dodoma

Natafuta mweji dodoma

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
Naitaj kufika dodoma kwaajir ya kaz ya uwakala kama kunamwenyej hapo tuwasiliane nijuwe hali ya hapo ipoje je,? Nikwaasilimia ngap wanapita mawakala kila siku pia pakufikia cna msaada wakuu waliopo dodoma mm natokea dar 0718999912

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua mkuu,uwakala wa nini?
Pia kuhusu maisha ya Dodoma, ni pakavu sana hapa ila kama mpambanaji utaishi mkuu. Vitu ni bei juu kiasi,mfano vyakula mavazi,vyumba,n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekua mwanamke hapa comment zingejaa ila wanaume ndo hvyo mmeumbwa kupambana na hali.jitahidi utatoboa
 
Aah asante ila uwaka wakusajir lain aah bc nilifaka kujua pia kuhusu mawakala wanaosajir hapo wanatembea au wapo eneo husika
 
Ungekua mwanamke hapa comment zingejaa ila wanaume ndo hvyo mmeumbwa kupambana na hali.jitahidi utatoboa
Kwely kabsa kama mwanamke ninefika hata comment k10 tunapambana hivyo hvyo
 
Back
Top Bottom