nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,133
- 12,915
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, mimi ni Mwalimu ila nilijiongeza nikajifunza system hii ya mauzo hasa katika supermarkets, nina uzoefu nayo.
Kwa yeyote mwenye supermarket au duka na anatumia system hii, naomba nikufanyie kazi.
Kwa yeyote mwenye supermarket au duka na anatumia system hii, naomba nikufanyie kazi.