Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari! Kwa ambaoo ni wazoefu wa kufanya usaijili pale DUCE, kwa maana ya written and oral interview naombeni uzoefu wenu wa maswali, na mbinu mlizotumia mkafanikiwa kupita, kwenye mchujo mpaka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanaplatform, Ningependa kufahamu data scientist monthly wages kwa hapa kwetu Tz. Nimejaribu kutumia search engines napata kwa viwango vya huko nje. Nimeamua kugeukia humu sababu nina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuwaita watu kufanya usaili ni jambo jema na la kupongezwa lakini kuna baadhi ya ma HR/Waajiri wamekuwa wakiwaita watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu kuja kufanya usaili hasa Dar lakini...
2 Reactions
1 Replies
879 Views
The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) an institution of The Aga Khan Development Network, has completed a major expansion of the Aga Khan Hospital. Dar es Salaam. This expansion aims at...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namaanisha hivi... Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Samahanini wandugu humu, Nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba ni cha medical checkups hivi ni wanaangalia nini na nini katika hiyo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Tz tumetangaza ajira za wahudumu wa afya kipindi kibaya wakati mabwanyenye nao wametangaza ajira hizohizo kwa malipo maradufu sasa unafikiri wataenda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Mimi ni (me), nikiwa kama mwanachuo ninaetarajia kumaliza mwaka huu Bachelor Degree in Education na kama mnavojua hali ya Corona imefanya tuwahi mtaani kwa muda. Naombeni kibarua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafasi 80 za kazi ya muda dart
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wakuu, habari ya majukumu. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya COVID-19 duniani, tunaendelea kuona ni nchi nyingi zimeamua kuchukua hatua ya watu kutoruhusiwa kutembea ama kufanya kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent Tanzanian to fill the following Contract vacant posts: 1. SUPPLIES ASSISTANT II (2 Post) - Main Campus in Morogoro...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
ATS Tsebo Tanzania is currently seeking to appoint an Assistant Accountant Reports to: ATS Tsebo Project Accountant. Education/Experience/Qualifications/Skill Requirements Minimum...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Overview ActionAid Tanzania is an anti-poverty agency working to end poverty and injustice. Qualified women candidates are highly encouraged to apply for this position. ActionAid Tanzania (AATZ)...
1 Reactions
0 Replies
852 Views
Country Director- Tanzania (2049) Region: Southern & East Africa Job Category: International Relief & Development (Outside UK) Contract Type: Fixed Term Closing Date: 7 April 2020 Potential...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Utangulizi Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni mdada wa miaka 25 nipo Mbeya natafuta kazi yoyote halali tu. Natanguliza shukrani. Kwa maelezo mengine PM ihusike.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shamba liko Chalinze wanatafuta Mtaalamu wa Kilimo bila udongo (hydroponics farming). Awe amesomea fani hiyo (walau hadi Diploma) na uzoefu kazni si chini ya mwaka mmoja. Uzoefu drip irrigation...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Position BELL B30E ADT OPERATOR / FABEC GGM Number of positions · 7 Qualifications: · Completion of Secondary School Education · Basic Numeracy and Verbal / Written...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Back
Top Bottom