ms2016
Member
- Oct 11, 2016
- 83
- 71
Habari!
Kwa ambaoo ni wazoefu wa kufanya usaijili pale DUCE, kwa maana ya written and oral interview naombeni uzoefu wenu wa maswali, na mbinu mlizotumia mkafanikiwa kupita, kwenye mchujo mpaka kuajiliwa.
Nawasilisha.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app