Habari mabibi na mabwana,
Nahitaji kijana wa kazi ya kuchoma mishikaki, kuku, (bbq) na kukaanga pia.
Sifa
Awe Dar es Salaam maeneo ya Mabibo au karibu
Awe na nidhamu ya kazi
Awe mwaminifu...
Watu wengi mnakoseaa sana.. kwenye interview unakubali kujadili expectations zako za mshahara na Hiring Manager, ukitaja mshahara mkubwa ujue imekula kwako.
Line Manager hatapenda umzidi, hata...
Habari, nilikuwa naomba kuelekezwa mahali ambapo sites za Yapi Merkezi zinapatikana au hata office zilipo ili nipeleke CV zangu kwa mkono nimkabizi HR.
Mimi ni Electrical Technician with two...
Wakuu kwema!
Nipo mbele yenu kuwaomba kazi yeyote ile ili niweze kuishi.
Mimi ni kijana mwenye miaka 27 nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote halali.
Kuhusu elimu yangu Nina shahada ya uwalimu...
Wakuu habari zenu!
Nimeitwa kwenye interview ya kampuni katika kitengo cha “VERIFICATION OFFICER”. Nilitaka kujua hichi kitengo kinahusiana na nini? Kwasababu ndo mara ya kwanza kukisikia.
Karibu
Overview
Maendeleo Bank Plc commenced operations in September 2013 as a Regional Bank with its Headquarters at Luther House, Sokoine Drive – Dar es Salaam. It is the first bank in Tanzania to be...
About CBM Tanzania
CBM Tanzania also known as Christoffel Blindenmission - Christian Blind Mission / Chama cha Christopher cha Kusaidia Vipofu (T), is an International Non-Governmental...
Chief of Party, Tanzania Horticulture
ID 2020-1806 # of Openings 1
Post End Date 8/31/2020
Category Field - Chief of Party/ Program Director Country Tanzania
Overview
The mission of Global...
United Nations International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT)
Temporary Job Opening (Duration 1 September – 31 December 2020 with possibility of extension)
Censor Clerk, G-4 (2...
Technical Officer – Emergency Response
Position Summary: ICAP at Columbia University seeks experienced and qualified individuals to serve as emergency response officers for CDC funded projects...
TANZANIA HEALTH PROMOTION SUPPORT(THPS)
Overview
Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works...
Wakuu kwema?
Baada ya ajira serikalini kuwa ngumu hasa kwa sisi wahitimu wa vyuo vikuu,niliamua kuingia veta kutafuta ujuzi mbadala na nimefanikiwa kupata leseni yenye madaraja yayoniwezesha...
Ref.No.EA.7/96/01/J/249 28th July, 2020
VACANCIES ANNOUNCEMENT- TEMPORARY EMPLOYMENT
On behalf of Tanzania Electric Supply Company (TANESCO); Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites...
Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa.
Asanteni.
Nambari zangu ni 0626488282...
Overview
QuickBiz Consultants Company Limited is the professional Business Consultancy Firm specializing in Human Resources Solutions, Sales and Marketing, Legal Consultancy, Accounting and...
National Program Officer – Economist for Employment & Income
Embassy of Switzerland to Tanzania
Location: Dar es salaam
Job Summary
We are currently looking for a highly experienced...
UONGOZI Institute is a government agency, established in 2010 by the Government of Tanzania and is supported by the Government of Finland, to inspire and equip Tanzanian and African leaders to...
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref.No.EA.7/96/01/K/247 27th July, 2020
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Dar-es-Salaam Institute of Technology (DIT), The National...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.