kijana wa kuchoma mishikaki, kuku n.k anahitajika

ujuguhapa

Member
Jul 28, 2020
30
36
Habari mabibi na mabwana,

Nahitaji kijana wa kazi ya kuchoma mishikaki, kuku, (bbq) na kukaanga pia.

Sifa
Awe Dar es Salaam maeneo ya Mabibo au karibu
Awe na nidhamu ya kazi
Awe mwaminifu
Mchapakazi

Aliye tayari ani PM


Soon project inaanza
 
Nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi ya kuchoma chips,mishikaki na kuku,tatizo naishi Kisarawe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom