Natafuta kazi yoyote halali, sichagui

Natafuta kazi yoyote halali, sichagui

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Wakuu kwema!

Nipo mbele yenu kuwaomba kazi yeyote ile ili niweze kuishi.

Mimi ni kijana mwenye miaka 27 nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote halali.

Kuhusu elimu yangu Nina shahada ya uwalimu ya masomo ya sanaa ila kazi kwa sasa imekuwa ngumu sana kupata.

Hivyo yeyote mwenye uhitaji wamfanyakazi nipo hapa sibagui kazi ya kufanya.

Naombeni mnisaidie wakuu mtaani hali sio nzuri.
 
Pole sana mkuu. Nashauri ungeweka na mkoa unapo patikana. Nikutakie kila la kheri na Mungu akusimamie na kukufanyia wepesi.
 
Ni shahada ya elimu sio uwalimu, uwalimu ni Diploma huko wewe ni mtaalamu katika njanja nzima ya elimu.
 
Wakuu kwema!

Nipo mbele yenu kuwaomba kazi yeyote ile ili niweze kuishi.

Mimi ni kijana mwenye miaka 27 nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote halali.

Kuhusu elimu yangu Nina shahada ya uwalimu ya masomo ya sanaa ila kazi kwa sasa imekuwa ngumu sana kupata.

Hivyo yeyote mwenye uhitaji wamfanyakazi nipo hapa sibagui kazi ya kufanya.

Naombeni mnisaidie wakuu mtaani hali sio nzuri.
Afu ikifika wakati wa kura, unachagua chama kile kile huku ukitarajia matokeo tofauti..!!!
 
Acha mawazo mgando...kwan ikiingia chadema ndo ajir zitapatkana kama una cha kumshaur its better ukafanya ivyo *hajaja hapa kisiasa
 
Wakuu kwema!

Nipo mbele yenu kuwaomba kazi yeyote ile ili niweze kuishi.

Mimi ni kijana mwenye miaka 27 nipo mbele yenu kutafuta kazi yeyote halali.

Kuhusu elimu yangu Nina shahada ya uwalimu ya masomo ya sanaa ila kazi kwa sasa imekuwa ngumu sana kupata.

Hivyo yeyote mwenye uhitaji wamfanyakazi nipo hapa sibagui kazi ya kufanya.

Naombeni mnisaidie wakuu mtaani hali sio nzuri.
Unapatikana mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom