Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

Habar zenu wakuu

Naomba kuuliza hizi kazi zilizotoka za wizara ya afya maombi yanatumwaje, kwa njia ya posta au njia gan? Naomba kueleweshwa

Sent from my SM-A205F uizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto
Kutoka Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto wametoa tangazo la ajira kama mvua na maelekezo. Hivyo kupitia katika PDF hizi mbili hapa chini utasoma maelezo kamili ajira Global Alliance for Vaccines and Immunizations (GAVI) na Global Fund Grants.
 

Attachments

  • VACANCY ADVERT IVD - 12.12.2020 (1).pdf
    551.3 KB · Views: 35
  • EMPLOYMENT ADVERTIES NEW - GF 12.12.2020.pdf
    953.7 KB · Views: 32
Habar zenu wakuu

Naomba kuuliza hizi kazi zilizotoka za wizara ya afya maombi yanatumwaje, kwa njia ya posta au njia gan? Naomba kueleweshwa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Always pay attention to details, mkuu. Usiwe unasoma kitu kwa kurush tu, last page ya adds iko clear kabisa, wabongo bhn!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom