Wakuu, kuna walioitwa kwenye interview Pivotech?

Majesty S P

Member
Sep 24, 2020
62
85
Tarehe 31.12.2020

Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi ya watu kwenye interview.
 
Back
Top Bottom