Jeshi la Polisi linaajiri vipi?

Yaani sasaivi taratibu nyingi za ajira za serikali mimi hua sizielewi kabisa,yaani ajira za sasaivi ni waamuzi wanasiasa na sio watendaji wenye taaluma ya ulinzi
 
Miaka kama kumi hivi imepita nimeshuhudia chuo cha polisi kikitoa kozi awamu moja tu tena walikua vijana 800 tu, ina maana walewale polisi tuliokuwa nao wanajitosheleza tokea miaka ile au wanaajiliwa kivingine kimyakimya maana nlisikia watachukua vijana wazalendo waliopitia JKT ila naona kila kukicha wanarudi tu huku mtaani.

Na juzijuzi hapa nimesikia IGP akiomba rasilimali watu ila kimya au hatuna uhitaji nao sana?
Serikalini hakuna ajira-😂😂😂
 
Back
Top Bottom