indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 229
- 226
Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa japo tutiane moyo maana mategemeo yetu yalikuwa makubwa saaaana
Karibuni
Karibuni
Itakuwa ni mfamasia maana wamechaguliwa wa 4 tena wa mwaka 2014We ni kada gani?
Mmh, ni hatari.Itakuwa ni mfamasia maana wamechaguliwa wa 4 tena wa mwaka 2014
Ngumu kumeza hii.Muwe wapole, akipata ndugu yako na wewe umepata
Sanaaa mkuu, hasa kwa wafamasia inasikitisha sanaaaNgumu kumeza hii.
Tuwe na moyo wa subra chiefNgumu kumeza hii.
Poleni, hali sio nzuri.Sanaaa mkuu, hasa kwa wafamasia inasikitisha sanaaa
Huku tukifnya mambo mengine.Tuwe na moyo wa subra chief
Wewe umewapa mtaji?Nyie wa 2015 mmeshakuwa wazee Sana ..Sasa tuna damu changa za 2020 na 2019 ivyo nyie jiajirini.