Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kama kuna mtu ana mrejesho wowote kwa zile kazi za EAC zilitangazwa juzi. Nakumbuka mwaka jana walitangaza, nikaomba nikaona kimya Mwaka huu wametangaza tena nafasi zilezile ila bado...
2 Reactions
2 Replies
998 Views
Habari: Anatafutwa mdada wa kupika Na kuhudumia mgahawa. Location Kimara Mwisho Darajani. Mshahara 4000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu poleni na majukumu ya kutafuta rafiki, Natafuta kijana mwenye uzoefu wa kutengeneza juisi ya miwa. Location: mbagala Mshahara: makubaliano Jinsia: jinsia yoyote NB: awe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION Vacancy Number IOM/DAR/012/2021 Position title Operations Assistant (Field Support)-2 Positions Position grade G-4 Duty station Dar es...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Hello wana, Jamvi niliomba nafasi kwa hawa jamaa wa Car Tracking since last week na nimefanya interview nao kadhaa ikiwemo ya Oral through WhatsApp calls ila leo wamenitumia email kwamba...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa, Mimi ni kijana mwanaume 26 years ELIMU YANGU: FORM 6 MS OFFICE COMPUTER SKILLS NAONGEA KISWAHILI NA...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni dereva na natamani niendeshe Uber hasa ya mkataba. Nimetafuta sana kazi za kuajiliwa sijafanikiwa na cjakata tamaa ila nimeona nijaribu na hili. Mwnye msaada wakuu.
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Wamekuwa vinara wakutangaza nafasi za kazi na sijawahi ona mtu ameitwa kazini je kuna mtu amewahi pata kazi kwa hawa jamaa?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha...
2 Reactions
0 Replies
849 Views
Hoteli ya Lahe ya Mwanza inatarajia kuajiri wapishi 2 wenye sifa zifuatazo: 1. Awe na cheti cha menejimenti ya hoteli kutoka chuo kinachotbulika 2.Awe ana elimu ya sekondari 3.Awe na uzoefu usio...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
WFP seeks candidates of the highest integrity and professionalism who share our humanitarian principles. Selection of staff is made on a competitive basis, and we are committed to promoting...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Wanahitajika 1. Waalimu watano wa Elimu ya Dini ya Kiislam (EDK) jinsia yoyote. 2. Mabinti 4 waliosomea secretary na wenye kujua vizuri Computer Sifa 1. Awe Tayari kufanya kazi Mkoa wa Tabora...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
JOB OPPORTUNITIES The Al Muntazir Schools are managed under the auspices of KSIJ Central Board of Education, a Non-Profit Organization, providing quality education to students from multicultural...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am looking for any Data entry related job I have the following Qualification able to start immediately kwa mawasiliano zaidi nitumie pm Proven experience as data entry clerk Fast typing skills...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari, akaunt yangu ya utumishi ni mwaka sasa sijaapply kazi yoyoye inagoma. Mfano kuna nafasi za Forest wametoa upande wa udereva ambacho sina ni cheti cha ufundi. Kinaweza kuwa ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, katika kufukuzia kazi, kuna viwango hivi vya mishahara Ambavyo vinaitwa PUTS na namba zake kama zilivyo kwenye tittle. Hivi maana ya Hiyo PUTS ni nini? na kwa viwango hivyo na namba...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom