TAREO-Tanzania Rural Empowernment Organiztion ni assi isiyo ya kiserikali yenye mako yake makuu Moshi,Kilimanjaro.
Oja ya jukumu l asasi hii ni kuwajengea uwezo wkazi wa vijijini hususani,WATOTO,VIJANA,AKINA MAMA NA WAKAZI WA VIJIJINI:
Tunalenga kuwajengea uwezo katika Nyanja za
- Elimu (Tuna vyuo na shule za awali)
- Tehama(Tuna kituo cha mafunzo ya TEHAMA-digital skill centre-Himo)
- Afya (Dispensary ya Kyomu Kahe na kituo cha afya)
- Ujariamali (Majengo vocational Projects—www.majengo.africa)
- Ufundi stadi na (Chuo cha ufundi KIDT VTC)
- Miradi ya kujiingizia kipato na kuji-ajiri (Majengo,Dar na HImo)
Tunafanya kazi na vijana,wahitimu wa vyuo na wanao penda kujitolea katika fani tofauti tofauti:
Kwa yeyote anayenda kujitolea,kujijengea uwezona pia kukutana na fursa za kuji-ajiri anweza kujiunga nasi kwa kujitolea
Tunapokea vijana na mtu yeyote anyependa kutumia taaluma yake,kipawa na ujuzi wake kufanya kazi na sisi:
Karibu ujiunge nasi leo(muda wa kujitolea ni kati ya miezi 3,6 na hata mwaka mmoja)
Wasiliana nasi leo-----mkurugenzi 0717157640 /+255272750531 E-mail
info@tareo-tz.org