Natafuta kazi ya uhasibu

steve111

Member
May 29, 2015
91
58
Habar, Ninaishi Mwanza pia Niko teyari Kufanya Kazi maeneo yeyote Yale. Nina shahada ya Uhasibu katika chuo cha Usimamizi Wa Fedha(IFM), Nina uzoefu wa miaka 2(mwili)) katika fani hii ya Uhasibu na kuweza kufanya kwa ufanisi Kazi zifuatazo;,
  • Preparing reconciliation.
    ❖ Preparing of payroll (PAYE, SDL, WCF).
    ❖ Preparing and filling VAT return on monthly basis.
    ❖ Preparing return of PAYE and SDL every six month to TRA:
    ❖ Preparing of all taxes to TRA e.g. (withholding on Rent, service Fee, Goods)
    ❖ Using accounting Packages QuickBooks
    ❖ Checking petty balancing money in and out with supporting
    documents(receipts).
    ❖ Financial Statement Preparation material for Auditors

Napatikana kwa namba; +255623177568. Asanteni Wana ndugu
 
Habari wakuu,
Nimeona huu Uzi nimekumbuka mbali sana kwa sababu nilikuwa naandika nikiwa Ghetto sieleweki kabisa!!

Watafutaji msikate Tamaa endeleeni kupambana

Lakini natafuta Mwasibu saizi. Please share your CV Now and will connect
 
Leta mrejesho
 
Search kwenye google FURSAKAZI BLOG. Then ktk fursakazi blog chini kbs kuna jobs category fungua category ya accountants utakutana na nafasi kedekede za uhasibu, kisha utakuja kutupa mrejesho humu
 
Habari wakuu,
Nimeona huu Uzi nimekumbuka mbali sana kwa sababu nilikuwa naandika nikiwa Ghetto sieleweki kabisa!!

Watafutaji msikate Tamaa endeleeni kupambana

Lakini natafuta Mwasibu saizi. Please share your CV Now and will connect
Mkuu kila la kheri, maisha yanahitaji subira, uvumilivu, utekelezaji na malengo.
Kila la kheri tena mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom