Nahitaji Gari ya Mkataba au ya Hesabu

grizzman

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
225
401
Habari wakuu.

Kijana wenu hapa nina shida ya gari ya mkataba au hesabu .nina uzoefu na Uber na Bolt. Pia, kama kuna mtu anajua makampuni yanayo toa magari kwa mikopo tafadhali sana naomba kujulishwa.

SHUKRAN
 
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom