TRA tena, watu elfu 10 wagombania nafasi 8 za kazi

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,669
5,007
Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya kwenye soko la ajira, oky nawatakia kila la kheri wote watakao shiriki kwenye hii interview

Screenshot_20210729-073140_Drive.jpg
 
Msichokijua kuhusu TRA wengi wanaomba wana kazi tayari wanafuata mkumbo TRA kuna hela ukiajiriwa
 
Hizo nafasi zigawanywe kwa usawa zenji 4 na bara 4.

Zenji wana asilimia 20 katika wizara za muungano na taasisi zote zilizo ndani ya hizo wizara. Kwa hesabu ya haraka haraka hapo znz wana nafasi 2 hapo na 6 za bara.

Ila hizo 2 kwao ni nyingi sana maana znz ina watu wachache sana. Na wasomi ndio wachache zaidi kuliko idadi ya nafasi za ajira

Znz population 1m. Nafasi 2 zao

Tz bara population 59m nafasi 6 zao
 
duh mpk mwanangu wa miaka 2 umemhesabiaaaaa??!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom