Hapa Mwenge ITV kuna kwenye company inaitwa M.M.I Steel inasadikika meneja mwajiri wa company hiyo alikuwa anawaibia Wafanyakazi wake baada ya kuwalipa mshahara laki tano/laki sita yeye anatoa...
Habari wapendwa,
Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika.
Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama.
Asanteni
Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho?
Tulinganishe na...
Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF.
Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida.
Nilijaribu kuandika barua utumishi...
Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi...
Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO ...
Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam.
Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba...
Nimeona tangazo lako la Wafanyakazi wa UDART kulipwa mishahara midogo mno..... siyo wao tu hata ma-cashier wa Vodacom Mofat Road ya Mbagala, hatuna sehemu ya kuongelea kero zetu kwasababu...
Wafanyakazi hatulipwi kwa wakati na wapo walioingia kazini Nov. 2025 hawajalipwa mpaka imebidi waondoke na ni vijana waliotoka chuo, wanaishije?
Alikuja Mkurugenzi wa land planning somebody Mdeke...
Kuna changamoto ambayo ipo kwenye Kampuni ya Ulinzi Suma JKT kutoa mkataba baada ya mkataba wa kwanza kuisha hupewi tena, changamoto ipo kwenye suala la kupata likizo ni inachukua muda kupata au...
Habari za mchana?
Shule ya English Medium iliyopo Pongwe,Tanga jiji.
Ina nafasi ya mwalimu wa darasa la kwanza na la pili.
Sifa
Awe anajua kufundisha masomo husika
Awe na upendo kwa watoto
Awe...
Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa...
Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja
Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine...
Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa...
Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini?
Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
Serikali ilitangaza ajira nikatuma maombi Ajira Portal, nikaitwa kwenye interview ya kuandika nikafaulu nikaitwa usahili wa mdomo.
Kulingana na mfumo wa Ajira Portal walikuwa wameandika usahili...
WALIMU 17 WATISHIWA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA WALIMU WILAYANI MAKETE, MKOANI NJOMBE
Makete – Wakati haki ya kujiunga na kujiondoa kwenye vyama vya wafanyakazi ikiwa...
WATUMISHI WA AJIRA MPYA AFYA RUANGWA HAWAJAPEWA STAHIKI ZAO, NI VITISHO TU – KUNA NINI?
Kuna taarifa zinazoibua wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya watumishi wapya wa sekta ya afya katika Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.