Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu, Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna...
6 Reactions
67 Replies
19K Views
Anonymous
Natokea Mkalama Singida Tanzania. Mhitimu Wa Shahada ya Kwanza ya Maendeleo ya Miji na Usimamizi Wa Mazingira kutoka chuo cha Mipango Dodoma (Bachelor Degree in Urban Development and environmental...
3 Reactions
2 Replies
242 Views
Anonymous
NAFICHUA UOVU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mimi ni mtumishi katika ngazi Elimu Msingi tuna kero ya kutolipwa kwa fedha yetu ya...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Anonymous (fdc6)
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Anonymous (fdc6)
Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo...
3 Reactions
3 Replies
281 Views
Anonymous
Kiukweli mimi ni mtumishi Halmashauri ya Chemba - Dodoma tusaidieni kuhusu vibali vya uhamisho. Mpaka sasa tangazo lilitolewa na TAMISEMI kuwa wametoa vibali vipo kwa Wakurugenzi na kama...
2 Reactions
1 Replies
122 Views
Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Anonymous (f714)
Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama...
1 Reactions
0 Replies
182 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ina changamoto kadhaa zikiwemo kutolipa madeni mbalimbali ya Watumishi kwa muda mrefu, kutolipa Fedha za kujikimu kwa ajira mpya ukitoa zile za elimu na afya...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya...
3 Reactions
6 Replies
468 Views
Anonymous (f836)
Mimi nimesoma fani ya misitu katika chuo cha misitu Olmotonyi kilichopo Arusha nimehitimu mwaka 2019, jana tarehe 23/03/2026 tumefanya usaili wa kwa ajiri ya nafasi za kazi zilizo tangazwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Anonymous
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona...
0 Reactions
7 Replies
175 Views
Wakuu kwema. Endapo nimeajiriwa kama Mtendaji wa kijiji chini ya Tamisemi, Nikaomba nafasi ya kazi jada ya uuguzi chini ya wizara ya afya, je nitaweza kuhama kutoka tamisemi kwenda wizara ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous
Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Anonymous
Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Anonymous
Kampuni zinazo usika na ujenzi kama CJIS na CRJ za kichina zinapewa tenda na Serikali yetu ya Tanzania ili zijenge miundombini na zitoe ajira. Lakini zinafukuzisha sana wafanyakazi kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Anonymous
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze...
1 Reactions
18 Replies
495 Views
  • Redirect
Anonymous
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume. Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna jambo linanisumbua kichwa siku nyingi naomba niwashirikishe wadau wenzangu.. Mchakato wa Ajira za Utumishi kwa hivi karibuni umerahisishwa upande wa Written interviews kwa maana ya Kwamba...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Back
Top Bottom