Maombi ya kazi au mafunzo kazini (internship)

fyegu

Member
Oct 17, 2017
50
52
Habari wana jf,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za word, excel, PowerPoint.

Lakini pia nina ujuzi katika strategic management, public policy analysis, customer care, performance Management, human resources management, pia Niko vizuri katika research asa katika data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.

Natafuta kazi either ya kujitolea au temporary kwenye taasisi yoyote hata kwenye business sector naweza kufanya Kama customer care, HR, Administrator, etc.

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.

Nipo Dar es salaam pia napatikana kwa namba 0782551451

Asanteni sana
 
Peleka taarifa zako (CV) TAESA kuna fulsa pana. mfano taasisi ninayofanyia kazi inachukua vijana wengi wa intern kutoka TAESA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom