Hivi ni vigezo gani vinatumika sana katika kuajiri wafanyakazi katika mashirika ya kimataifa?

Cainan

JF-Expert Member
Jun 14, 2017
419
476
Habari zenu wakuu, poleni na maombolezo.

Nirejee kwenye kichwa husika.

Hivi ni vigezo gani vinatumika sana katika kuajiri wafanyakazi katika mashirika makubwa kama vile UNICEF, WHO, AMREF international na mengineyo mengi, naomba tujadili kwa kina kuhusiana na suala hili.

Ahsanteni karibuni.
 
Lazima uwe na vinasaba na ubeberu Hilo ndio kigezo kikubwa.
 
Habari zenu wakuu, poleni na maombolezo.

Nirejee kwenye kichwa husika.

Hivi ni vigezo gani vinatumika sana katika kuajiri wafanyakazi katika mashirika makubwa kama vile UNICEF, WHO, AMREF international na mengineyo mengi, naomba tujadili kwa kina kuhusiana na suala hili.

Ahsanteni karibuni.
CV yako iwe kali (yenye academic achievements hasa kama graduate program umefanya nje (Uk or US), na CV yenye kuoyesha experience uliyonayo kwenye mashirika ya kimataifa kama umewahi fanya. Na njia nzuri ya kuingia kwenye mashirika hayo ni kuanza kama intern, kama CV haijashiba sana, au kama una mtu unayemfahamu ambaye tayari yuko kwenye internal system ya shirika hilo
 
Back
Top Bottom