Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kijana wa miaka 23 npo dar es salam Natafuta kazi ya udereva mwenye uhitaji niko Nina ujuzi wa ufundi magari wa miaka 3 Madaraja yangu A A2 B D E Nina elimu ya kidato cha nne nipia nimesomea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU. KWA MAWASILIANO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwenye sehemu hii ya ajira au kazi za udereva naona asilimia kubwa ni madereva ndiyo wanahangaika sana kuitafuta hii kazi. Ningepata faraja kuona pia wenye vyombo vya moto nao wakitoa nafasi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani. Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali. Elimu yangu ni degree katika maswala ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kama kuna boss yoyote mwenye bidhaa zake anaitaji mtu wa masoko na kulipwa kwa kamisheni basi tuwasiliane kszi yoyote ile inayo itaji mtu wa kamisheni basi nicheki WhatsApp...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Qualification and experience. -Holder of a Bachelor degree in Project Management, Investment,Business, or any related field. Or equivalent. -Demonstrated knowledge in Computer Application is a...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwanini tunaogopana Sana humu ndani wakati sisi ni wananchi wa kawaida kabisa kama wasiojulikana nao wapo humu ndani basi ni wachache hawawezi kutufuatilia watu wote hivyo mnaonaje ukiitumia...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
POST: PERSONAL SECRETARY I – 2 POST POST CATEGORY(S): HR & ADMINISTRATION EMPLOYER: National Institute of Transport (NIT) APPLICATION TIMELINE: 2022-01-07 2022-01-20 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ni muhitimu wa kozi ya Clinical Officer (CO) katika chuo flani hapa dar es salam. Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi napatikana Dar es Salam. Nipo tayari...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
HJHI (Henry Jefferson Health Care Initiatives) ni matapeli wa ajira wanaotumia mgongo wa "psychometric evaluation" kupiga hela za wale walio na uchungu wa kukosa ajira. Kwenye website...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nitakuwa specific and short, but clear: Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa...
22 Reactions
12 Replies
4K Views
Niliapply kazi kwenye website ya zoom sikumbuki siku vizuri Leo nimepata sms inasema hivi Hello am Mr Abram from sabertek ltd DSM tuko kwenye kikao tunapitia CV za kuinterview .CV yako ni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
JOB PURPOSE: Installation of electrical components, machines and gadgets; maintenance of such machines as well as troubleshooting and repairs whenever there is a breakdown. QUALIFICATIONS &...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Job Purpose: Monitor, troubleshoot, and maintain the bank’s Data Centers Power, cooling, physical security, access control & other low voltage systems at the bank’s Primary and DR Data Centers...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Seeking passionate and ethically motivated Tanzanian professionals. Tanzania Cheshire Foundation (TCF) in partnership with Leonard Cheshire (LC) have been awarded a three-year grant to deliver an...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Back
Top Bottom