Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kazi niliiona tu kwenye site fulani inaitwa zoom nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi fulani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi. Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa..... Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security. Kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni...
14 Reactions
67 Replies
14K Views
Wakuu salamu. Ni miaka kadhaa sasa natafuta kazi kwenye hizi NGO wala sijapata. Nina Degree ya Statistics and Mathematics,naomba kwa anayejua connection za kuniwezesha kupata kazi kwenye NGO...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
HABARI Naomba kushare tangazo hili: Anahitajika mfanyakazi wa kike Umri kuanzia miaka 30-35 Mwenye uwezo wa kumhudumia mhitaji wa KIKE, mwenye uzito wa 200kg na kwa sasa kavunjika mguu Maeneo ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kijana ambao ni muhanga wa ajira kwa miaka zaidi ya 10 toka nimehitimu chuo kwa fani Ugavi nafarijika kwa juhudi, mbalimbali ambazo serikali imefanya na inaendelea kufanya kuakikisha inapunguza...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Career Opportunities: Programme Policy Officer (Monitoring, Evaluation & Reporting Officer) (155896) Requisition ID 155896 - Fixed Term - Africa, Southern - Tanzania, United Republic of -...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Career Opportunities: Programme Policy Officer (Smallholder Productivity Officer) (155884) Requisition ID 155884 - Fixed Term - Africa, Southern - Tanzania, United Republic of - Dar-es-Salaam -...
1 Reactions
1 Replies
661 Views
Construction Specialist (P-3) Dar es salaam, Tanzania#00119014 Temporary appointment 364 Days Job no: 547692 Contract type: Temporary Appointment Level: P-3 Location: United Republic of Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
569 Views
Job Summary: The incumbent will be contact person to customers on banking solutions. Responsible for advising bank customers on financial related issues. He/she will handle customers in a...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wakubwa na wadogo Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Stores Assistant Details Reference Number CCB220110-3 Job Title Stores Assistant Job Category Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location - Country Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
830 Views
RFP: Salesforce Support Partner January 2022 Who We Are Girl Effect is a non-profit that builds media that girls want, trust and need – from chatbots to chatshows and TV dramas to in-person...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. Tanzania Commercial Bank is a...
1 Reactions
1 Replies
755 Views
Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33 Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya. Ashone nguo za kiume na kike kama hajui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom