Ajira ya udereva

Attainer Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
403
719
Kwenye sehemu hii ya ajira au kazi za udereva naona asilimia kubwa ni madereva ndiyo wanahangaika sana kuitafuta hii kazi.

Ningepata faraja kuona pia wenye vyombo vya moto nao wakitoa nafasi hizi ili kuleta chachu na kuleta morale ya kurahisisha upatikanaji wa kazi hii.

Nawasilisha hoja hii ili kusaidia hili jambo lisiwe gumu.
 
Kweli kabisa
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom