Ukiomba Kazi Ofisi za Waswahili hivi ndiyo Vigezo vyao vikubwa
Tuma CV ya sasa
Tuma Nakala ya Vyeti vyako vya Kitaaluma
Tuma Picha zako za wakati huu Tatu
Tuma Cheti chako cha Darasa la Saba...
"...ni jukumu la kila mwajiri, kutoa mkataba wa ajira, kulipa mshahara na masilahi mengine stahiki kwa wakati, kuandikisha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi ya...
Fungua hapa Tanzania, Management Jobs; APPLICATION FOR PROCUREMENT &SUPPLY JOB, ili uone nafasi za kazi
****************************************************************
EWE MTANZANIA USIACHE...
Natumai mu wazima?
Kuuliza sio ujinga! Hivi Zek Group, hi kampuni yao ya A1 Outdoor hali ikoje wajameni? Mambo yanaeleweka? Manake kuna mtu anataka aresign mahali atinge humu!
Je yaliyomo yamo...
Nahitaji kuuliza kitu zile nafasi za kazi za TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania)wakati zimetangazwa zilifanya consideration kwa Nchi zote mbili yaani Tanzania na Zanzibar!
Sasa leo hii nimekutana na...
Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia Zanzibar kuna ubaguzi kwenye maswala ya kazi hasa kwa wabara leo nimethibitisha baada ya kuona hili tangazo la kazi Zanzibar lakini kigezo cha kwanza ni...
Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour...
Siku tano zilizopita mdogo wangu alituma maombi ya kazi kwa hawa jamaa wanajiita zanaconsulting agency. Leo hii wamemjibu kupitia email yake kwamba anahitajika kwenye interview tarehe 24 mwezi...
Mambo yamebadilika sana
Zamani zetu zoezi la Sensa lilifanywa na wanafunzi wa shule za Msingi na walimu wao
Zama hizi Sensa ni Ajira
Dunia ngumu sana hii!
Basic Purpose:
The DBA will be responsible for the design, implementation, configuration and maintenance of various databases support of Zain business applications
Main Duties &...
Zaidi ya vijana 1500 wamejitokeza katika usaili wa kujiunga na mafunzo ya JKT kati ya 65 wanaohitajika wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo inajumuisha halmashauli ya Chalinze huku mkuu wa wilaya...
Inasemekana shirika la posta tanzania limeweza kuingiza mapato ya zaidi ya mil 46 kutokana na kutumwa kwa maombi ya kazi za PCCB kwani walioomba nafasi hizo ni zaidi ya watu elfu 46
Wadau, katika gazeti la Daily news na Mwananchi, kuna tenda ya kununua vyuma chakavu vya chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Shinyanga Shirecu(1984) ltd, wale wadau mnakaribishwa.
Tafadhali, anahitajika mtu/kampuni ambaye atauza vifaa vya umeme jua kwa set iliyotimia kuanzia solar pannel, betri, invertor nk.
Maelekezo muhimu.1. Kama ni mtu awe na leseni ya biashara na Tin...
Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021...
SENIOR HUMAN RESOURCE OFFICER BULYANHURU GOLD MINE
African Barrick Gold (ABG) is a new company whose equity is traded on the London Stock Exchange.ABG is Africa's fifth largest gold...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.