Zamani vijana wasio na Kazi walikuwa wanaenda Bandarini kubeba mizigo, siku hizi wanasubiri Sensa waajiriwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Mambo yamebadilika sana

Zamani zetu zoezi la Sensa lilifanywa na wanafunzi wa shule za Msingi na walimu wao

Zama hizi Sensa ni Ajira

Dunia ngumu sana hii!
 
Dunia siyo ngumu wagumu ni watu wenyewe.

Ni hivi hao hao wa zamani utawaskia wanahubiri vijana wajiajiri fursa ni nyingi blah blah anaeyehubiri hivyo ni muajiriwa serikalini yeye hajawahi na hata akijaribu hawezi kujiajiri.

Akifutwa Ile kazi analia kama mtoto mdogo anayelilia andazi dukani.
Huu ndiyo ugumu wa watu.
 
Back
Top Bottom