Zijue tofauti kubwa na Vigezo kati ya Kuomba Ajira Ofisi za Waswahili na zile za Wazungu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Ukiomba Kazi Ofisi za Waswahili hivi ndiyo Vigezo vyao vikubwa

Tuma CV ya sasa
Tuma Nakala ya Vyeti vyako vya Kitaaluma
Tuma Picha zako za wakati huu Tatu
Tuma Cheti chako cha Darasa la Saba
Tuma Vyeti vya Wazazi wako
Tuma Cheti chako cha Ndoa
Tuma na Namba yako ya Mtihani ya Chuo Kikuu
Tuma Vyeti vya Kutibiwa Macho, Meno, Tetekuwanga na Ebola
Ambatanisha taarifa yako ya Kupimwa UKIMWI, Gono na Kaswende
Taja Majina yako unayotumia katika Mitandao mbalimbali ya Kijamii
Ambatanisha Majina ya Wajumbe wako wote wa Serikali za Mtaa

Ukiomba Kazi Ofisi za Wazungu hivi ndivyo Vigezo vyao vikubwa

Tuma CV tu pekee tafadhali

Waswahili tubadilike / badilikeni.

Tujadili.
 
Hapo kwa waswahili haukuwa serious mkuu jus for funny labda.
 
Back
Top Bottom