Zabuni kwa wauzaji wa umeme jua(solar power)

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Tafadhali, anahitajika mtu/kampuni ambaye atauza vifaa vya umeme jua kwa set iliyotimia kuanzia solar pannel, betri, invertor nk.

Maelekezo muhimu.1. Kama ni mtu awe na leseni ya biashara na Tin number. Kama ni kampuni iliyosajiliwa vielelezo vya usajili viambatanishwe.
2. Tuma viainishi vya bei na uwezo wa kuvisambaza ktk uwingi(particulars discription) kwa wakati.
3. Ikiwezekana maelezo ya ziada na picha zitumwe ikiwa kama kigezo cha ziada.

4. Maombi yote yatumwe kwenye barua pepe: Tajirii@naij.com au Sirngonyani@gmail.com

au Tuma ktk PM

5. Yule tu atakayekidhi vigezo kwa maana ya bei nzuri na uzoefu wa uuzaji nitawasiliana nae.
 
Back
Top Bottom