Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Ajira Mpya Rorya District hatujalipwa Fedha za Kujikimu tuna maisha magumu tumejaribu kuuliza wenzetu wamesema huku kulipwa ni kwa bahati sana au usilipwe kabisa. Ajira ya mwaka huu kada ya...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Wakuu ni hivi pamoja na kwamba sikuwahi kumaliza diploma in mechanical engineering. Lakini hapo nyuma miaka ya 2021-2023. Nilitamani siku Moja nifanye kazi kama fundi. Lakini baada ya mapito ya...
4 Reactions
9 Replies
604 Views
Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu...
2 Reactions
8 Replies
177 Views
Baadhi ya watumishi wa Wilaya ya Buhigwe tumefungiwa mishahara yetu baada ya kushindwa kufika kwenye wito wa Mkurugenzi wa Wilaya uliotolewa mwezi Agosti mwaka huu. Baadhi yetu tulikuwa masomoni...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Mkuranga, Pwani tuna tatizo la umeme unakatika mara kwa mara, ahadi ya TANESCO kushughulikia haijatimia. Mkuranga, Pwani umeme unakatika mara kwa mara, kila baada ya muda mfupi. TANESCO walisema...
2 Reactions
3 Replies
732 Views
Mawazo tafadhali: Mimi ni mtumishi wa Halmashauri X, nasumbuliwa na mguu (lymphedema-right leg) kwa kipindi kirefu, hivyo cellulitis imekuwa ikinirudia mara kwa mara. Nikatoka mkoani nikaingia...
3 Reactions
14 Replies
174 Views
NAIC BUSINESS GROWTH AGENCIES ‎ ‎Position: Sales & Marketing Manager ‎Location: Tanzania / Remote & Online ‎Employment Type: Performance-Based / Commission + Performance Bonus ‎Reports To: Founder...
0 Reactions
4 Replies
121 Views
Habarini, wanajamii forum poleni kwa majukumu naomba msaada kujua taasisi zinazolipa mishahara mizuri kwanzia INTERNATIONAL ORGANIZATION OR NGO'S na Taasisi au Ofisi za Government. Pia naomba...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es...
6 Reactions
25 Replies
369 Views
OFFICE NAME: SKMQUALITY LOCATION: KINONDONI STUDIO Tunahusika na mifumo ya security, kufunga CCTV CAMERA, ELECTRIC FENCE, ALARM SYSTEM, MOTOR GATE, VIDEO DOORBELL NK NAFASI ZA KAZI 1...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni mwajiriwa mpya niliyepewa Kituo Wilaya ya Uyui (Tabora), wale waliopangiwa hospitali ya wilaya wameandikiwa/kupewa pesa ya kujikimu takribani TSh 925,000+, wakati sisi tuliopangiwa vituo...
1 Reactions
9 Replies
126 Views
Eti Wanajukwaa Hihi, Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13%...
0 Reactions
19 Replies
163 Views
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na...
1 Reactions
6 Replies
199 Views
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa...
1 Reactions
50 Replies
471 Views
1. Kutokuwepo kwa haki katika mgawanyo wa malipo ya ziada (Extra Duty/OC) Habari, katika Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, kuna changamoto ya baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kutumia mamlaka...
1 Reactions
1 Replies
49 Views
Hii ni Kampuni ya Wachina ipo Veyula Dodoma na inazalisha Mafuta ya Kupikia.Hapa ni Jehanamu kwa kweli,yaani Wachina ni zaidi ya MAJAMBAZI wanatufanyisha kazi usiku kucha leo bila aibu...
3 Reactions
15 Replies
199 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…