Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu wanaJF, kama upo Dar es salaam na una kazi yoyote inayohitaji mtu wa kusaidia, tafadhali naomba tuwasiliane. Iwe ni kufundisha watoto(msingi na sekondari), iwe ni manual works, iwe ni...
0 Reactions
3 Replies
628 Views
Habari wana JF, Nahitaji kazi yoyote halali itakayonipatia kipato naahidi kuifanya kwa weredi. Nimesema yoyote nikimaanisha sichagui kazi napitia hali mbaya sana msaada tafadhali. Nipo Dar...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hello Candidates, We have 2 position at Integral Tracking Limited for fresh from school candidates. -- About us INTEGRAL TRACKING LIMITED was established in 2012 and specialized in the provision...
1 Reactions
0 Replies
619 Views
Je, nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono? Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni...
8 Reactions
83 Replies
15K Views
Anahitajika fundi umeme wa viwanda aliepo maeneo Zanzibar Fuwoni au maeneo ya karibu na hapo.
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naitaji kijana Mwaminifu na Mchapa kazi kwa ajili ya kusimamia stayionery Awe amesoma na mzoefu wa majukumu ya stationery Eneo: MBEYA MJINI, Anaeitaji anicheck 0716854680
1 Reactions
0 Replies
513 Views
Habari, naomba kufaham kwa mwenye kujua TSG10 NI kiasi gani cha mshahara, asanteni
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Anahitajika msichana mwenye uzoefu na uuzaji vifaa vya ujenzi awe mkazi wa Dodoma. Sifa Awe anajua kusoma na kuandika Awe na uzoefu kwenye mauzo ya vifaa vya ujenzi Mawasiliano :0712206032 NB...
1 Reactions
2 Replies
930 Views
Wakuu habari, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma Education (bachelor of education in policy planning and management) nikispecialize kwenye Economics and accountancy kama teaching...
9 Reactions
98 Replies
14K Views
Habari, Naitwa Emanuel. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Niko mkoani Arusha kwa sasa. Nahitaji msaada wa kazi yoyote ya mikono ambayo itanisaidia kuendesha maisha. Niko tayari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za leo, Tunahitaji Engineer wenye kampuni ya Civil Class 4 kwajili ya mradi wa kusambaza maji. Kama una kampuni yenye sifa hiyo piga no 0674899696.
1 Reactions
3 Replies
562 Views
Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande. Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam. Kama upo njoo PM.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
POST SUPPLIES OFFICER II – 1 POST EMPLOYER The Agricultural Seed Agency (ASA) APPLICATION TIMELINE: 2022-08-16 2022-08-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To Assist supervision of...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Peking Healthcare limited,a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
  • Closed
Naomba kujitambulisha Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 kutokea mkoani Mwanza. Kwa sasa ninaishi Manzese jijini Dar es salaam. Elimu yangu ni kidato cha sita. Sina familia na wala...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimehitimu Bsc in petroleum geology,natafuta nafasi ya kujitolea migodini au sehemu yoyote inayohusu geology
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom