Ukituma maombi ya kazi kwa Posta kupitia EMS utajuaje kama mzigo umefika?

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS, utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika?
 
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS ,utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika.?
Kwanini wasifikishe? Kua na imani mkuu.
 
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS ,utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika.?
EMS unaweza ku track shipping process mpaka destination point, ukiingia kwenye website ya posta tafuta EMS section utapata, unaweza kuwapigia call centre pia
 
Hivi ukituma maombi ya kazi posta kwa njia ya EMS,utajuaje kama mzigo umefika sehemu husika na je posta uaminifu wao upoje katika hilo kufikisha maombi sehemu husika?
Wewe pamoja na anayepelekewa mtajulishwa kwa njia ya simu.
Ila nasikitika huduma ya EMS kwa njia ya shirika letu la Posta imekuwa duni mno. Miaka ya nyuma ukituma kifurushi chako Dar utakipata popote Tanzania baada ya siku moja tu! Leo hii inachukuwa siku saba au zaidi. Na hata taarifa hazitolewi. Nimekuwa mhanga wa huduma hii na hivyo nilikwishaacha kuitumia. Nafikiri kuna urasimu kwa baadhi ya watendaji wa shirika hili.
 
Back
Top Bottom