The Salt
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 391
- 1,038
Wakuu, narudi hapa nikiwa na ombi la kazi. Mimi ni kijana na Baba and matured enough,naomba kazi yoyote halali nisiue familia na njaa wazee! Being jobless is a stressful moment,na kila nikitazama watoto wangu basi hii hali inani break into pieces,mentally and physically maana uzito unazidi kupungua tu.
Niko tayari kufanya kazi sehemu au mkoa wowote hapa Tanzania.
Nilishawahi kujieleza sana humu,hivyo maelezo yangu binafsi kwa urefu n.k. naomba mfungue Link ya Ombi langu mpitie. Waweza kuwa wewe ndo mwajiri au ukawa na 'Connection'
Link ni hii[emoji1370]
www.jamiiforums.com

Andiko ni refu ila ewe unayehitaji mtu wa aina hii naomba usome
Mara ya mwisho nilipata Mtu humu akaniamini akanishika mkono na kunipeleka Porini/Hifadhini kwenye shughuli zinazohusiana na Utalii,nilijitahidi kufanya kwa uaminifu na kupata Exposure na Experience ya vitu tofauti tofauti hadi janga la COVID-19 lilipopelekea kila kitu kusimama huko Mbugani kwa...