Naombeni msaada/connection ya kazi/kibarua

Naombeni msaada/connection ya kazi/kibarua

October 10

Member
Joined
Jul 8, 2022
Posts
8
Reaction score
1
Mimi ni kjana mwenye miaka 30+, nimekuja Dar kutafuta maisha kutokana na hali niliyokutana nayo mkoani.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ya halali nijikwamue kiuchumi.

Elimu yangu ni diploma.
 
Kabla ya kutafuta kazi boss tafuta connection Dar bila connection utapata tabu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom