Tovuti ya Utumishi ni majonzi hakuna post hata moja

Tovuti ya Utumishi ni majonzi hakuna post hata moja

Davey15

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
213
Reaction score
231
Yani leo katika pitapita zangu mtandaoni na ujobless wang nikasema ngoja nichungulie huku utumishi aisee hakuna tangazo la kazi hata moja aisee vijana tujiajili tu au tucheki private sector huku ni majonzi.

Screenshot_20221227-193326_Chrome.jpg
 
Mbona kipindi zimejaa hukuja Kusema humu na kuwapa hongera kwa kutangaza kazi nyingi... Acha kuwachonganisha Utumishi na Wasomi.. kwanza hao wanapelekewa Oda tu, kazi zinatoka kwenye Taasisi Husika za Serikali
 
Mwez wa 6 na wa 7 kazi ilijazana na hakutooa hongera,yeyote
 
Back
Top Bottom