Nakuja DM bossHabarini.
Nahitaji mtu wa kuchora zile 3D pictures kwaajiri ya presentation ya namna project itaonekana mara itakapokamilika eneo la ujenzi.
Kama una uwezo huo nicheki DM au hata hapa.
Asante.
Nimekucheki DM bossHabarini.