Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi...
Hi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni...
naitaji mtu seriously mwaminifu ambae yupo tayari to fanye biashara pamoja, yaan partnership.
Kuanzia mwezi 5 eneo liwe Dar salaam, kwa sas sipo Tanzania ila natarajia kurud baada ya miez 4 kama...
Kwanza nipende kutoa shukurani za dhati kwa yoyote yule ambaye ameamua kuchukua muda wake kusoma huu uzi wangu.
Mimi BabaMorgan nakuja tena mbele zenu wakubwa kwa wadogo mliopo humu Jamiiforum...
Hello members
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu mwaka wa kwanza, nahitaji kazi, supermarket, au kuuza duka la nguo, vipodozi nk.
Education: DIPLOMA IN PUBLIC ADMINISTRATION
LOCATION DAR ES...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Umri wangu ni miaka 31,jinsia me..natafuta kazi yoyote halali hapa dodoma.
Elimu yangu ni kidato cha sita ila pia nina uzoefu basic wa...
Natafuta kazi yoyote ile.Nimesoma bachelor of business administration (Accounting) nimehitimu 2018 lakin tangia nimemaliza chuo nilikua nikufundisha o -level masomo ya basic mathematics na...
Wakuu, habarini,
Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo.
Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba...
Habari zenu wanajukwaa, kuna kijana anahitaji kazi katika maduka ya jumla jumla yanayouza kati ya vitu vifuatavyo
1)Vifaa vya umeme
2)Machines mbali mbali.
Anapatikana Dar.
Elimu yake ni kidato...
JUMA PAUL MATHIAS,
S.L.P 289,
TEMEKE,
DAR-ES-SALAAM.
30.8.2022.
MKUU WA WILAYA,
S.L.P .... ,
TEMEKE.
K.K
MTENDAJI WA KATA,
KATA YA......,
SL.P .....,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.
K.K
MWENYEKITI WA MTAA...
Mwenda bure si mkaa bure, huenda akaokota.
Pamoja na udhaifu/ulemavu wangu sijakata tamaa kurusha ndoano kila ninapopata/kukutana na fursa yenye harufu ya mkate wa kila siku kwani nina imani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.