PATNER SHIP

PATNER SHIP

Mahash

Member
Joined
Jul 8, 2023
Posts
90
Reaction score
114
naitaji mtu seriously mwaminifu ambae yupo tayari to fanye biashara pamoja, yaan partnership.
Kuanzia mwezi 5 eneo liwe Dar salaam, kwa sas sipo Tanzania ila natarajia kurud baada ya miez 4 kama upo tayari karib inbox.

Idea za biashr lonazo ni
1.Kampun ya kuuza na kusambaz nafaka.
2. Duka la hardware.
 
wewe umepungukiwa nini hadi uhitaji partner?
 
Huyo patnee unamuhitaji wa nini mkuu. Kusimamia biashara au kuchangia mtaji

Kuwa open zaidi
 
wewe umepungukiwa nini hadi uhitaji partner?
Sijawah fanya biashra kwaiy tukishare capital itakua vizur maan mam itaitaj mtaj let say 20m apo kila mtu atatoa 10m kuliko kua mwenyew risk inakua nikubw mkiwa wawil atleast na
 
Na mfano idea ya pil hardware inaitaj capital ndefu kidg peke yang zitowez.
 
Kwan huko dar Hakuna hardware au unalocation yako tayari?
 
Back
Top Bottom