Natafuta kijana ama Binti wa kuuza duka

Duka lipo shule ya sekondari ya Azania Dar Es Salaam ndani.Muhusika awe anaishi maeneo ya karibu na Azania sekondari,ajue hesabu na kuandika vizuri.Mshahara maelewano
Kwa aliyetayari anicheki 0747 464239.
Kwahiyo muombaji awe anaishi Upanga, kariakoo au Magomeni.

Calculation zako ziko sawa? Weka wazi mshahara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom