Mfano wa barua ya maombi nafasi JKT 2022

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,221
JUMA PAUL MATHIAS,
S.L.P 289,
TEMEKE,
DAR-ES-SALAAM.
30.8.2022.
MKUU WA WILAYA,
S.L.P .... ,
TEMEKE.
K.K
MTENDAJI WA KATA,
KATA YA......,
SL.P .....,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

K.K
MWENYEKITI WA MTAA,
MTAA WA .......,
SL.P .....,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) KWA KUJITOLEA MWAKA 2022

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Mimi Juma Paul Mathias mkazi wa kijiji cha.... wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, ninayo furaha kubwa kuleta maombi yangu katika nafasi ya kujiunga na Jeshi La Kujenga Taifa (J.K.T) kama ilivyotangazwa katika tovuti Rasmi ya jeshi la kujenga Taifa Mwezi agosti mwaka 2022, ambapo nina elimu ya sekondari kidato cha nne ambayo nilimaliza katika shule ya sekondari....... mwaka .... na kufanikiwa kupata daraja la.....

Ninao ujuzi mkubwa pia katika (taja kipaji chako) ambacho endapo kama nitapata nafasi hii,nitakiendeleza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja na kulijenga Taifa letu la Tanzania.

Ni matumaini yangu kwamba maombi yangu yatakubaliwa na kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria.

Wako katika ujenzi wa Taifa,
(weka sahihi)
JUMA PAUL MATHIAS.
 
Nina swali wakuu,hivi ukitoa tattoo hizi alama zingine Kama za tetekuwanga(pox) au black dots kwenye miguu mfano je itafaa?
 
JUMA PAUL MATHIAS,
S.L.P 289,
TEMEKE,
DAR-ES-SALAAM.
30.8.2022.
MKUU WA WILAYA,
S.L.P .... ,
TEMEKE.
K.K
MTENDAJI WA KATA,
KATA YA......,
SL.P .....,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

K.K
MWENYEKITI WA MTAA,
MTAA WA .......,
SL.P .....,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) KWA KUJITOLEA MWAKA 2022

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Mimi Juma Paul Mathias mkazi wa kijiji cha.... wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, ninayo furaha kubwa kuleta maombi yangu katika nafasi ya kujiunga na Jeshi La Kujenga Taifa (J.K.T) kama ilivyotangazwa katika tovuti Rasmi ya jeshi la kujenga Taifa Mwezi agosti mwaka 2022, ambapo nina elimu ya sekondari kidato cha nne ambayo nilimaliza katika shule ya sekondari....... mwaka .... na kufanikiwa kupata daraja la.....

Ninao ujuzi mkubwa pia katika (taja kipaji chako) ambacho endapo kama nitapata nafasi hii,nitakiendeleza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja na kulijenga Taifa letu la Tanzania.

Ni matumaini yangu kwamba maombi yangu yatakubaliwa na kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria.

Wako katika ujenzi wa Taifa,
(weka sahihi)
JUMA PAUL MATHIAS.
Ok

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Iko gud Sana....
 
Unaposema maombia huwe ipo katika wingi ni vyema ukasema
YAH: OMBI LA KUJIUNGA ..........
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom