KERO Malipo ya Kujikimu Ajira Mpya Afya Iramba yachelewa

KERO Malipo ya Kujikimu Ajira Mpya Afya Iramba yachelewa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Bill mazengo

New Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Ajira mpya afya halmashauri ya wilaya ya Iramba hatujalipwa pesa zetu za kujikimu, na kila siku tukifuatilia tunaambiwa fedha ziko hazina wiki ya pili saa tangu tumeanza kufuatilia, mara tunaambiwa kulipwa hizo fedha ni 50/50 tukiuliza sababu ya kuwa 50/50 ni nini hamna majibu ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom