Ni matumaini yangu kwmb wana jf mpo poa!naomba kujuzwa kiwango cha mishahara kwa hawa wakala wa barabara tanzania TANROADS hasa kwa nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS!Nimeona salary scales km vile...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali...
Wakuu habari za saizi
Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni.
Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu
Naomba kwa yoyote...
Wakuu habarini za majukumu. Jamani Nipo hapa naombeni ushauri. Je ni sake kibarua kipi kati ya hivi viwili Vya wachina. Vyote naweza kupenya
1. Niende kwenye ujenzi wa miundo mbinu. Wakuu kama...
Viongozi habari za muda huu
Katika maisha ya kufanya kazi Kuna mistakes za hapa na pale ambazo unaweza kuzifanya wewe mwenyewe au mtu mwengine ambapo msala unaweza kuwaangukia watu wote ofisi...
Hi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be...
Binafsi, nilitambulishwa kwa mke wa Mheshimiwa fulani. Nikaona niwe na mawasiliano naye mara kwa mara kama dada yangu. Hivi majuzi, aliniuliza kama nilikuwa tayari nimepata ajira. Nilipomwambia...
Bila kupoteza muda
Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant
Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi)...
Kwema wadau?
Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya...
Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo kariakoo mtaa wa Kongo na Aggrey.
Sifa awe na elimu kuanzia 4m4
Mdhamini awe nae
Kwa anaehitaji nicheki inbox
Wakuu mimi wa muda mrefu huku JF nilikuwaga na account yangu nikaipoteza.
Ombi langu kwenu ni naomba mwenye kibarua chochote anisaidie, nipo mkoa wa Arusha. Nina diploma ya accounting yenye G.P.A...
Jamani wana JF mimi naitwa Brighton natafuta kazi ya kuwa msaidizi wa dereva (tingo) kwenye magari makubwa ya mizigo au mafuta. Kwakweli ni kazi ambayo naipenda ila sijui nitaipataje maana...
Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.