Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,083
- 1,499
Wakuu habarini za majukumu. Jamani Nipo hapa naombeni ushauri. Je ni sake kibarua kipi kati ya hivi viwili Vya wachina. Vyote naweza kupenya
1. Niende kwenye ujenzi wa miundo mbinu. Wakuu kama mnavyo jua mwaka wa fedha ndio huo unaanza plus uchaguzi mwakani. Kwahiyo kuna miradi mingi ya serikali hivyo wakuu mm kama kijana ambaye najifunza kutinga nimeona kuna fursa kubwa sana ya kipato kama mshahara maana huanzia 400k-800k Kwa watingaji pia nimeona mianya ya kupenya kama kibarua wa kawaida
2. Au niende viwandani. Wakuu kutokana na mkoa niliopo viwanda vidogo na vikubwa vinajengwa Kila siku na huko mbeleni vinaenda kua vingi balaa Mpaka ndoto za kuhama mkoa zimezima ghafla. Hivyo naomba ushauri niingie huko ambako Kwa mwezi nipata kama 150k pia napata uzoefu wa mambo ya ufundi mechanical na umeme.
Karibuni